Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Mar 6, 2024 #2 Empire itanuke ifike hadi dasalama na ntwara
Ramesses II JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,710 Reaction score 5,054 Mar 7, 2024 #3 Kosa ni hapo ulipoita ZIWA NYANZA kuwa Ziwa Victoria. Hiyo tu inatosha kuondoa maana ya huo UFALME. Ulishakufa kitambo sana kama hadi Ziwa Nyanza walishaitambua kwa jina la Mkoloni anayewatawala.
Kosa ni hapo ulipoita ZIWA NYANZA kuwa Ziwa Victoria. Hiyo tu inatosha kuondoa maana ya huo UFALME. Ulishakufa kitambo sana kama hadi Ziwa Nyanza walishaitambua kwa jina la Mkoloni anayewatawala.