Ramani ya nyumba vyumba viwili kwa watanzania wakawaida

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi.

Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.



 
Malizia na ramani kabisa tuone ina vyoo vingapi,bafu dining n,k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…