Habari wanajamvi,
Mwenye ramani ya nyumba yenye vyumba vinne vya kulala yani mater moja na vitatu kawaida, yenye dinning room, sitting room, jiko na store.
Ramani za kisasa ndo naiomba, tafadhali mwenye nayo namba yangu watsap 0712222751. Nitashukuru.
Sent from my TECNO KA7O using
JamiiForums mobile app