TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Imekaa poa sana hioWakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa mawasiliano nichek inbox. NB: NAUZA KWA SABABU MIMI MWENYEWE NIMENUNUA,NDIO AMBAYO NIMEJENGA.
Nitumie namba zako Pm kiongoziWakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa mawasiliano nichek inbox.
NB: NAUZA KWA SABABU MIMI MWENYEWE NIMENUNUA,NDIO AMBAYO NIMEJENGA.
Hapo sawa yaanUmenunua bei gani nikurudishie uweke hapa watu wote wafaidike?
kwa mtu mmoja mmoja elf 5 ni rahisi lkn jamaa akikusanya kijiji anapesa ndefuUmenunua bei gani nikurudishie uweke hapa watu wote wafaidike?
Sio rahisi kihivyokwa mtu mmoja mmoja elf 5 ni rahisi lkn jamaa akikusanya kijiji anapesa ndefu