Ramani za nyumba za kisasa zaidi

Safi sana mkuu...

Dogo mleta uzi, huu ni ushauri mzuri sana kwa career yako usikilize!
Usilete ujuaji kwenye utafutaji.
Kuna wajuzi zaidi yako.
 
Nadhani reply yako ameiona ndio maana kapotea.
 
Mleta uzi ni Mpumbavu kiasi kwamba hujawahi kugundua hilo "Nikuoneshe ukajenge" [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi kwa ufahamu wako unahisi wewe ndiye una ramani za watu bila wewe watu hawawezi kujenga nyumba?

Na hako karamani kama banda la bundi unaringa na kutoa kauli mbovu hivyo! Hatukatai kuwa ni taaluma ila unavyodhani wewe ukionesha hiyo ramani kwa usahihi basi nyumba zote nchini zitakuwa kama hako kabanda kako.

Jaribu kuwaza hata kwa kutumia maji kama akili hauna za kutosha. Pumbavu sana.
 
Mbona hakuna ramani? Wewe ungesema picha za nyumba tu. Acha swaga.
 

Mbao za mawe almaarufu Kaka Mkubwa
 
mkuu elimu yako ni ya pakistan ??? maana wa pakistan ni vilaza sana... ndio maana wana pata tabu sana huko Peshawar
Kwa taarifa yako wapakistani wameenda shule, usifikili kama sisi tunawaza kula all the time na kwenda toilet..sisi sio watu washule wala wa kufanya kazi.
 
Sasa mnamshambulia mleta uzi maana yake nini ndugu zanguni...kama huwezi comment pls soma ule kona..
Mkuu soma vizuri uzi mzima mleta mada wala hakushambuliwa na mtu yeyote bali amekuwa akilekebishwa tu namna ya Biashara mtandaoni mana anaoneaha bado hakuwa anafahamu jinsi watu wanavyofanya naimani kajifunza mengi ndo mana ka like hata hizo comment unazoona wewe kama kashambuliwa ni namna tu ya mafunzo kuna mafunzo ya polisi na jkt ni tofauti
 
Kwa taarifa yako wapakistani wameenda shule, usifikili kama sisi tunawaza kula all the time na kwenda toilet..sisi sio watu washule wala wa kufanya kazi.
ndio na kuambia sasa wapakistan ni sawa na wanafunzi wanao hitimu st. john, SAUT, KIU... na ma GPA makubwa lakini hamnazo...
 
We design, we construct and we consult any kind of buildings call/whatsapp for more info +255718892233 and follow insta @allysstech fir more views of designing


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…