Ramani za nyumba

bank

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
158
Reaction score
24
Jamani wadau naombeni ramani za nyumba nzuri anisaidie au kama unajua website yenye nazo itafaa pia.
Asanteni kwa ushirikiano.
 
Jamani wadau naombeni ramani za nyumba nzuri anisaidie au kama unajua website yenye nazo itafaa pia.
Asanteni kwa ushirikiano.

nikushauri kidogo ndugu yangu bank, ramani za nyumba zipo kwenye mawebsite kibao, but dont just build with any drawing unayokuta huko just because imekuvutia kwa macho,,, there r alot of aspects which u should consider before constructing ur house,,, i would advice u upate proffesional advice kuhusu ujenzi, manake u can just pik a drawing with fault, ukaanza kuinvest pesa nyingi katika kujenga and at the end of the day ukaumia,,, so pliz seek professional advice and dont just pik a drawing from the internet,,, ikiwezekana tafuta designer akuchoree kabisa ramani according to how ur site is,
 

Thats where our vast expensive proffesional advisor will grab money from you...hawa proffesional advisor ukiwachukua kwenda kwenye site au waona kama una mawazo mazuri na mwenye pesa....watakuchage pesa mingi sana....ndio maana nyumba nyingi zinajengea bila kushauriw ana mtu ....... mtu anapata ramani yake then anajenga.
 

gharama ya kumlipa huyo proffessional advisor ni kidogo sana kulinganisha na how much it will cost u at the end of the day if the drawing from the internet had a fault... Think of it clearly again
 
Ndugu bank na wengine, ni kweli ushauri wa Architect E.M ni wa msingi sana.
Site ziko nyiingi sana, baadhi tu ni hizi;
House Plans
Architect Custom Home Plan House Plans, Home House Designs, residential drafting service
House Plans, Home Plans, Floor Plans and Home Designs from the eplans.com House Plans Store | Garage Plans and Blueprints
House Plans & Home Plans at COOL® houseplans home floor plans & blueprints
Globalhouseplans.com, The World's best online collection of quality architectural house plans under 4000 square feet. Over 19,000 plan, at guaranteed lowest prices. Featuring smaller, greener, better designed, Multi-national house plans, home plans,
House Plans and Home Plans | Search Thousands of House and Floor Plans at Dream Home Source etc.

Ukiona kama unahitaji ushauri wa kitaalam na michoro tafuta local architect au ni-PM nitakusaidia.
Kwa uzoefu wangu kwenye shughuli hizo ni kuwa majengo mengi kati ya utakayoyaona hapo sio ya mazingira utakayotaka kujenga, so MAJOR MORDIFICATION IN DESIGN should be done inorder to comply. Pia si rahisi sana kupata mchoro ambao ni tayari na unaendana na mahitaji yako. Just get your customized house design from us.
 

Thanks mkuu
 
nashukuruni wote kwa mawazo na msaada wenu wa manufaa nitaufanyia kazi
mbarikiwe
 

Ni kweli mi ya kwangu nilipata kwenye internet na nikai- modify na sijapata tatizo lolote na nimehamia nyumba yangu tangu 2004. Ni tatizo gania anasema architect
 
gharama ya kumlipa huyo proffessional advisor ni kidogo sana kulinganisha na how much it will cost u at the end of the day if the drawing from the internet had a fault... Think of it clearly again

Faults kama zipi, fafanua basi....
 
Bwana Bank.. ni kweli hawa maprofesionals ukiwachukua wanacharge pesa nyingi na utakuta project yenyewe ni ka residential house kawastan tu siku hizi watu wengi wa residential houses huwakimbilia wanafunzi wa vyuoni ambao bado wanasomea hayo mambo kidogo wao wanacharge cheap baada ya kumlipa profesional laki 5 kijana wachuo ataifanya kwa laki 3 hadi 2 inategemea na design yako, ila jitahidi ufate wanafunzi wa kuanzia mwaka wa3 kwenda mbele kwani wao wanakua tayari wamesha master michoro ya residential houses hivyo wachek pale Ardhi University au ni PM mimi mwenyewe maana nasoma hapo hapo na nina somea masomo ya Architecture ambayo tunadeal na uchoraji wa ramani.. Ila Mi ushari wangu ungepitia hizo websites uone ramani tofauti tofauti alafu uchague kama 3 au 4 ambazo zimekuvutia alaf tafuta hao vijana au kwa urahisi zaidi nitafte mimi then tutajua swala lako litaendaje..

Nakutakia siku njema
 
Unahs archtect watakula wap?
 
me nilikuwa nataka kujua mahali ambapo nitapata good drawing za ramani
 
Ndugu, Zinapatikana katika hizo website alizo toa ndugu Chatu Dume hapo juu...
Au tuwasiliane kwa msaada zaidi
Thanks
 

Kijana, mambo vp?
Wadau wengine pia, habari zenu?

Nikitaka kujenga nyumba kama hii (AmazingPlans.com House Plan #1885C-SLM - 1885 Square Feet, 3 Bedrooms, 2 Full Bathrooms, Colonial, Contemporary, Country, Hillside, Ranch, Southern, Traditional, Victorian)kwa interlocking bricks au kwa tofali za kuchoma au zile tofali za udongo mwekundu wa kuchanganya na cement. Halafu nguzo nyingi nitumie za miti na pia niifanye iwe thatched house na ile bonus house niijenge kwa mbao na miti tu nayo iwe thatched. Sitaki kuweka ceiling board, nataka mapambo ya paa lenye nyasi yawe yanaonekana na pia nataka sakafu ya bonus room iwe ya mbao, siyo ya cement - itanigharimu sh. ngapi?
 
drag frm internet & 4gert abt architects if u can...................bt u'll b totaly lost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…