Khauka kweli we babkubwa! Nimevutiwa na hizo picha hadi nikaanza kutafakari juu ya mipango yangu ya sasa. Kweli biashara matangazo. Namna hiyo watu wanashawishika na waanza kuelewa unachomaanisha. Lakini nimeangalia kwa makini nimebaini hiyo ni design moja view tofauti. Ebu weka designs tofauti.
Kwa upande wangu nin augonjwa wa ghorofa. Ndo plan yangu. Sitaki kubwa mfano: Ground Floor iwe na Kitchen, Public toilet, Bed room 1 na Lounge ya uhakika; First Floor iwe na Master Bed Room (self cont), balcony na Lounge na Second Floor iwe Master Bed Room (self cont), balcony. Kiwe kijumba executive.
Haya ni mawazo yangu lakini nakubali kukosolewa na kusahihishwa na nakubali ushauri ili kuboresha plan hii na ili nyumba iwe nzuri na yenye kujitosheleza. Ebu niwekee picha tu