Pamoja na yote sema unaanzia kiasi gani kwa ramani ya kawaida,usigope tuthamanishe kwanzatuchekiane kwenye email au phone,au ni pm ili tuelekezane vizuri kwasababu kuna mambo mengi yana athili bei ya ramani ikiwemo hali ya kiwanja na mahitaji ya mchorewaji
Tunachora ramani za nyumba za aina tofauti tofauti(primaryarchitectural services),pia tunadesign ndani ya nyumba ambazo zilisha jengwatayari,maduka,migahawa,vibanda vya simu n.k(hii ni kwa upande wa interiordesign) na tunafanya landscape design,hii ni kwa upande wa nje wa jengo,mamboya garden design.
kwa mawasiliano zaidi
0713450840
francofmwakiwonde@gmail.com
TUJENGE PAMOJA