Ramani zenye Makadirio Ya Ujenzi (BOQ)

Ramani zenye Makadirio Ya Ujenzi (BOQ)

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,021
Reaction score
636
Pata ramani za nyumba zikiambatanishwa pamoja na makadirio ya ujenzi wa kila ramani pia utaweza kupata kibali cha ujenzi bila usumbufu. call 0686970690
3-2 (1).jpg
3 (1).jpg
f1.jpg
111.jpg
 
Mimi nataka kujua, hiyo nyumba ya chini iliyo peke yake - bei ya ramani, na pia gharama zake za Ujenzi.
 
Tatizo la nyie wachoraji wa ramani bei zenu daah,, laki 3 na nusuu ! Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hauna laki 3.5 ya kupata mchoro wa nyumba yako ya millions of money hautakuwa serious mkuu, labda kama hauna lengo la kujenga just unajaribu tu...hata hivyo bei zetu ni reasonable kulingana na mahitaji yako inawezekana ikawa hata chini ya laki 3.5 or zaidi

Shukrani mkuu, ! Na nyumba ya vyumba 3, master bedroom 1, room 2, dining, sitting, store, kitchen, public toilet ... Hii bei yake ikoje!? Weka sample 3 au 4 kwa manufaa ya wengine pia mkuu

250,000 Mchoro na BOQ yake.sample za picha nitaweka. now access ya picha sina zipo kwenye laptop.na sipo karibu nayo.au kwa maelezo piga simu namba hizo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom