Ramani zenye Makadirio Ya Ujenzi (BOQ)

Kutokana na Janga La Corona bei zetu zitapungua kwa 40% mfano kazi ya 100,000 tutafanya kwa 60,000.
 

Attachments

  • 5.jpg
    49.2 KB · Views: 13
  • 1.jpg
    56.1 KB · Views: 13
sajosojo kanuni ya uchoraji nasikia ni muhimu kufika kiwanja kilipo ili uchore ramani kulingana na jiografia ya eneo husika. Kwako hiyo ikoje?
Kitaalamu ni lazima nifike site kwako na kupata vipimo halisi vya kiwanja chako na kuna vitu vingi pia tunaviangalia kama uelekeo wa jua namna barabara za mtaa wako zilivyo connected na kiwanja.aina ya udongo ulivyo kama kuna existing structure zinatakiwa zibaki na vingine vingi.karibu sana mkuu nicheki kwenye namba hiyo tufanye kazi.
 
ivi ukitoa BOQ roughly ya bila ramani hapa Kuna tatizo gan mfano nyumba ya vyumba 3, master bedroom 1, room 2, dining, sitting, store, kitchen, public toilet, ukasema hii nyumba Ina range 20M hadi 30M kutegemea na ramani/ukubwa. Then mtu akakufata Sasa umpe ramani iliyomo katika hiyo range Kuna tatizo?
Shida ma engineer mna jaa njaa sana, na ramani za saiv mtu anawaza mwenyewe tu anachora roughly anaita fundi nyumba inasimama, Jueni namna ya kuvutia/kushawishi wateja dadeq zenu, njaa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…