Ramaphosa Kuapishwa J5, Union Building

Mheshimiwa Rais Cyril Ramaphosa anarajiwa kuapishwa kama Rais wa Afrika Kusini kwa awamu yake ya pili. Kama mwanachama wa SADC mwenzetu twendeni tukashuhudie na kumpongeza.
NB. Wasanii, Wastaafu andaeni suti
Kwakweli Rama atahenyeshwa Sana Swamu hii serikali itakua haina utulivu.
Ningekua ni yeye nisingekubali kuachiwa hilo zigo ningepumzika chap.
 
Kwakweli Rama atahenyeshwa Sana Swamu hii serikali itakua haina utulivu.
Ningekua ni yeye nisingekubali kuachiwa hilo zigo ningepumzika chap.
Tulia uone kazi bungeni. ANC watam-recall na kuteua mwingine chap. Wasipokua makini DA (wazungu) watarejea kama Zama za ubaguzi wa rangi
 
Mheshimiwa Rais Cyril Ramaphosa anarajiwa kuapishwa kama Rais wa Afrika Kusini kwa awamu yake ya pili. Kama mwanachama wa SADC mwenzetu twendeni tukashuhudie na kumpongeza.
NB. Wasanii, Wastaafu andaeni suti
Uwezekano wa yeye kumaliza muhula wake wa Pili salama ni mdogo sana kupita kiasi. Tusubiri tuone.
 
Chama cha Malema ni chama cha kibaguzi, hakitambui mchango wa wazungu katika kujenga Afrika, akiingia madarakani atagombana na wazungu
 
Chama cha Malema ni chama cha kibaguzi, hakitambui mchango wa wazungu katika kujenga Afrika, akiingia madarakani atagombana na wazungu
Weusi wenyewe wazawa hawamkubali. Maana anafagilia wageni weusi waendelee kufaid mazuri ya SA
 
Bora Wazungu kuliko ngozi nyeusi yenye ubaguzi kwa Wa
Afrika wenzao kisa hawajasoma.
Nakumbuka enzi za makaburu ndio uwekezaji huku Tanzania ulikuwa juu sasa hivi wamefunga biashara zao na kurudi kwao
 
Rama ameshindwa kabisa kuongoza ile nchi na sasa Makaburu yaliyowaua kwa maelfu yako ndani ya baraza la Mawaziri aaibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…