Rambirambi Toka Fungate!!!

Huwa inaanza Engagement ring halafu inakuja wedding ring sasa ujiandae na suffer ring,........
 

Pole na wewe na ongera kwa kupata cheo kipya.Na pia naomba asa ID yako IBADIRISHWE iwe Mrs...Judith
 
Duh nimeipenda hii.


Mwalimu anatoa msisitizo dakika za lala salama hizi karibu game linaisha mwanafunzi wake asije akamuangusha.

Btw, hongera sana judith kwa kupata mume. Hayawi hayawi mwisho yamekuwa!
 
Miss Judith, Hongera sana . Amani ya Kristo iambatane na ndoa yenu siku zote zamaisha yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…