Ramli ya Edo Kumwembe

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Aliandika kua yeye anazifahamu Simba na Yanga kwa zaidi ya miongo kadhaa, akajisahau kwamba mambo yanabadilika.
 
Alijua bado Simba inaendeshwa kimihemko kama zamani, sven hataki kuingiliwa kwenye maamuzi yake, ingekuwa ni makocha wasiokuwa na msimamo ni kweli Jana tungeshuudia mkude akicheza dhidi ya platnum, ila sven hataki kuyumbishwa kwenye majukumu yake, utajua hili ata kupitia interview zake na vyombo vya habari, jamaa yupo too professional
 
Tatizo la Edo kumwembe anajifanya anajua kila kitu wakati ukweli vitu vingi havijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…