Random acts of kindness

Ni mambo ambayo binadamu tunatakiwa tufanyiane mara nyingi tu. Hata kumshikia mlango mtu/watu apite/wapite wengi huonyesha appreciation ya hali ya juu. Kuona binadamu mwenzake (just a stranger) akimshikia/akiwashikia mlango watu asiowafahamu wala hawamuhusu. Ile mtu kukwambia tu THANK YOU SO MUCH kwangu mimi hunipa furaha tele moyoni nami inapotokea mtu ananishikia mlango pia hushukuru sana.
 
Thread kama hizi ndizo za kufungulia mwaka .

Binafsi huwa. Napenda kufanya hivyo kila mwezi ninafanya jambo jema kwa mtu ambae hanijui na simjui.

Kunafuraha fulani napata kuhisi nimeweka tabasamu usoni kwa mtu.
Nimeshafanyiwa hivyo mara kadhaa sasa na total strangers na sasa nami nimehamasika.

Every now and then nitakuwa nafanya hivyo.

Kuna siku moja kitambo kidogo nilikuwa naenda kazini nikaamua kupitia breakfast McDonald's.

Hivyo hivyo kwenye drive thru nilipofika dirishani nikaambiwa 'the person in front of you already paid for your order'....

I was like 'woooow'.

Good people still exist aisee.
 
Sasa imagine mtu anakulipia meal yako...humjui wala hakujui na hata hukumwona vizuri na wala hakutaka hata ajulikane na umwambie walau 'ahsante'....

Kindness on next level....
 
mwaka 2016 unakula junk na mwaka 2017 kweli? bila shaka wewe utakuwa kibonge fulani zembe
 
mwaka 2016 unakula junk na mwaka 2017 kweli? bila shaka wewe utakuwa kibonge fulani zembe
Hahahahaa....I'm 200lbs of solid Nyantuzu muscle baby[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]

The only time I gain some type of fat weight is when I'm back home.

Below is where I reside....

Sasa imagine mtu anakulipia meal yako...humjui wala hakujui na hata hukumwona vizuri na wala hakutaka hata ajulikane na umwambie walau 'ahsante'....

Kindness on next level....
Ni kweli na watu wanaotoa misaada kwa dhati ni hao wasopenda hata kuonekana kwa waliowasaidia........sio kama wanasiasa wetu hapa utaona na makamera amewapelekea nguo,sukari na mchele watoto Yatima wa kituo cha.........
Happy new year my brother!!!
 
NN sababu wewe umefanya hivyo hapo nyuma basi na huyo uliemuonyeshea alifanya hivyo kwa mwingine.

Na Kama huyo aliekulipia Jana usikute kuna mtu alimfanyia yeye hivyo. Ni vitu vidogo tu kama hivyo vinazunguka na kufanya sehemu unayoishi bora.

Na mimi iliwahi kunitokea supermarket. Basi tangu siku hiyo nikajisemea once a month I will perform an act of kindness to someone random.
 
Thread kama hizi ndizo za kufungulia mwaka .

Binafsi huwa. Napenda kufanya hivyo kila mwezi ninafanya jambo jema kwa mtu ambae hanijui na simjui.

Kunafuraha fulani napata kuhisi nimeweka tabasamu usoni kwa mtu.
Daah kuna kitu umenifungua through this comment.....10x
 
Dah hilo tukio limeni-inspire sana. Wapo binadamu wachache sana ambao wanatamani dunia hii iwe sehemu nzuri ya kuishi na wewe Nyani Ngabu ni mmoja wapo japokuwa sikufahamu kwa kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…