Random advice thread. No specific topic toa ushauri wowote

Below 40

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
884
Reaction score
1,739
Toa ushauri wowote haijalishi ni kielimu,biashara,mahusiano au michezo. Chochote unachohisi unaweza kuwa ushauri mzuri toa.

Natoa ushauri kwamba kutoa ushauri bila kuombwa ni tabia mbaya.

Hata hapa nimetoa ushauri kwa sababu nimeombwa kutoa ushauri tu.
As you say great thinker 🙏🙏🙏🙏
 
Ukijisikia kulia Lia,never hold back the tears.limenikuta Jambo baya kwa kweli,siwezi kabisa kulia hata kitokee nini.najisikia kulia Ila machozi hayatoki na hiyo imetokana na tabia yangu ya kujizuia kulia niliyokuwa nayo nyuma.
 
Wanaume wengi tunajifanya wagumu may be tunaogopa kuonekana tupo soft.
Tumeshakua immune kutoa machozi lakini tunalia sana inside
 
You ae responsible for your own happiness...usitegemee mtu mwingine akupe furaha!!

Tunapotafuta tukumbuke na kuishi!!! Lifes too short!!

Kama una afya...fanya kazi kwa uwezo wako wote...
Na ikifika muda wa kupumzika....do it!!!!
 
Usivunjike moyo kwa maumivu uliyo nayo sasa. Usikimbilie kulaumu, tafta maana yake kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…