Random advice thread. No specific topic toa ushauri wowote

Jifunze kuongea kidogo na kunyamaza. Maana unachokitoa kinywani mwako kinaweza kutoa tafsiri ya wewe ni mtu wa aina gani
 
Kila jambo hutokea kwa kusudi, hakuna kitu kinatokea kwa bahat mbaya.....

Kila jambo hutokea kwa sababu, yap! Kuna sababu inayofanya hayo yoote yatokeee.
 
“It was about the journey since the beginning, was never about the destination”

Furahia kila kipind unachokipitia kwenye maisha maana maisha ni safari, mapito madogo unayoyapitia ndio vituo kabla ya kufika uendako
 
hivi kuna mwingine humu anapataga ile hisia kwamba thrilling & fulfillment aliipata alivyokuwa anatafuta kutimiza lengo, lakini baada ya kutimiza lengo anaona mambo yako boring tena

Yaani kipindi unasaka dream mambo yanakuwa fun and unpredictable(which is awesome) lakini ukishapata hiyo achievement mambo yanarudi kuwa boring [emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…