Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
RANGA CHIVAVIRO YEYE NI YANGA TU!!

"Ni kweli tunaendelea na mazungumzo na Yanga juu ya Uhamisho wa Ranga Chivaviro, mchezaji aliyefanya Vizuri kwenye michuano ya CAF ni wazi hawezi kukubali kubakia ikiwa timu imeshuka daraja, tunaipa kipaumbele timu inayocheza michuano ya CAF, tumepokea Ofa kutoka Yanga na Azam FC na bado hutujafikia makubaliano"

"Ofa Yanga ni Nzuri na Rais Hersi Saidi ametupa Ofa nzuri na ni furaha kwa Ranga kuja Tanzania na Hersi Said atakuja hapa siku chache kumalizia makubaliano natumai Oscar tutaonana siku chache zijazo Tanzania"

HERVE TRA BI, Mkurugenzi wa TNB Sports Agency Management ambayo inamsimamia Mshambuliaji Ranga Chivaviro wa Marumo Galants

Sifa za ziada

Chivaviro = baleke + Phil+ robertinho + mudi..
Source: FutbalPlanetUpdates
 
Imagine pale musonda .......mayele kule chivaviro

MAKOLO wataanza ule mchakato wa kutishia kuhamia ...Zambia[emoji23][emoji23]
1684767114908.jpg
 
Kama yuko vizuri aje tu maana yanga ya sasa ni ya kimataifa inatakiwa mchezaji mwenyewe alilie kuja Yanga halafu Yanga ndiyo imuangalie kama anafit ama la, kama hafit anaweza kwenda timu zingine kama Azam, Simba au Singida, nazo ni nzuri zinamfaa pia.
 
Kama kuna ukweli basi ni heri ila usali una mambo mengi sana unaweza kusajili lakini akaja hapa asiweze kuparfom

Naomba Yanga wasi Muuze kwanza Mayele, mpaka pale Chivaviro akapata uzoefu wa ligi na mazingira.
 
Kama yuko vzr aje tu mana yanga ya sasa ni ya kimataifa inatakiwa mchezaji mwenyewe alilie kuja Yanga alafu Yanga ndiyo imuangalie kama anafit ama la, kama hafit anaweza kwenda timu zingine kama Azam, simba au singida, nazo ni nzuri zinamfaa pia.
Mi naona kama hata fit tuwape makolo.......coz ndugu zetu hawa .....now days wanafeli sana kwenye scouting
 
Back
Top Bottom