Ukiweka na kodi ya Mama inakuja ngapi hapoππKwa kifupi β¬154,070 β TSh 473,334,000.
Luxury meet ELEGANT π₯ π₯
Unyama sana,,haya Mambo mbeleni yatakuwa unkwepekableEVs are here to stay.
JLR wametangaza officially RR EV baada ya teasers za miaka na miaka, na utaanza kuuzwa mwakani, 2027.
View attachment 3662872
Kwanza muonekano wa nje na ndani, ni karibia sawa na RR ya ICE. Wao JLR wamesema "it will look, feel and drive like normal RR".View attachment 3662875
Kuhusu Bei ni Β£154,070, inakuja na dual motor, 120kWh battery na 540 HP.
View attachment 3662876
Hapa ndo lazma uache ndala inadondoka +900MBado kuisafirisha na kodi.
Hapa bado Kodi ya TRA , akina Abdul wananunua Tu kama yupo kariakoo unanunua jeansKwa kifupi β¬154,070 β TSh 473,334,000.
Luxury meet ELEGANT π₯ π₯
Plus Kodi ya Kichwa hapo unazungumzia 400 Grands ambayo inafika a billion. TZSUkiweka na kodi ya Mama inakuja ngapi hapoππ
π€£π€£π€£πHapa bado Kodi ya TRA , akina Abdul wananunua Tu kama yupo kariakoo unanunua jeans
πππ asante mkuu, nilitaka tu kuijua mimi imenivutia kwa nje tu, ndani sijaijua vzr...Surf 2.7 2TR-FE Haina shida hiyo. Ndugu na Fortuner. Kama tu umeipenda muonekano, ndani na nje, na ipo kwenye hali nzuri, lipia pesa uvimbe.
Hio chuma nishaikalia sana, naielewa vyema. Its an all-round off-roader with looks. Durability sio ya kuuliza kwa sababu ina Engines kama 4, tatu zikiwa za Petrol na moja ni Diesel. Niliyotumia ni 3RZ-FE Petrol iko Sluggish sababu ni engine kongwe ila ni imara.
Noma ππPlus Kodi ya Kichwa hapo unazungumzia 400 Grands ambayo inafika a billion. TZS
ShukranItafute ata Picha au video YouTube, iyo ni ya 2004 nadhani, nzuri kama mtu wa kazi kazi.
Miamia mkuuHio chuma nishaikalia sana, naielewa vyema. Its an all-round off-roader with looks. Durability sio ya kuuliza kwa sababu ina Engines kama 4, tatu zikiwa za Petrol na moja ni Diesel. Niliyotumia ni 3RZ-FE Petrol iko Sluggish sababu ni engine kongwe ila ni imara.
Gari balance ipo ya kutosha sana tofauti na Prado sababu ya body yake kwenda juu ni fupi ila ina upana. Gari nzuri sana kwa safari.