Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RAV4 ipi hiyo ambayo iko juu dhidi ya hii gari!!!Hiyo kwa rav4 haingii hata kidogo, ...
😳😳😳🏃🏃🏃Milioni 100
RAV4 ipi hiyo ambayo iko juu dhidi ya hii gari!!!
Kila mtu aendeshe gari ya ndoto yake, haya mambo ya kutishana ni ushamba tu.Kama una hiyo hela chukuwa rav4 tu hautajuta, vinginevyo ujitayarishe kuhamia garage, ...
Kila mtu aendeshe gari ya ndoto yake, haya mambo ya kutishana ni ushamba tu.
Utasikia hii gari inakunywa mafuta, mara spare ghali, mara lile.
Tuachage hayo
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Umemalizia vizuri sana, kununua gari sawa na ndoa, kila mtu anachagua msalaba wake.Ni sawa lkn hata kwa Muzungu wenyewe wana orodha ya magari ambayo siyo imara na hutoka kila mwaka na Land rover haina sifa nzuri, lkn mwisho wa siku uamuzi ni wako kwa maana pesa ni yako, ...
Huko ni kujidanganya ..... Rava 4 uifanankshe nn na hup utupolo RAVA 4 nayo gari uifananishe na range loverModel pacha ya hiyo hiyo, nazungumzia kama unaishi Bongo lakini, kwenye hiyo segment hakuna zaidi ya rav4 hasa ukiipata mpya, ...
passo ngap apo?😅😅 dunia hiiMilioni 100
Huyu mnyama katulia dadaView attachment 1596902
View attachment 1596903
�
�
Representative Personal Contract Purchase finance example On The Road Price £39,580.00 49 Monthly Payments
£399.06
Customer Deposit
£2,750.00
Amount of Credit £34,440.00 Total Amount Payable £42,621.88 Optional Final Payment £20,707.00 Representative APR 4.9% APR Annual Mileage 6,000 p/a View attachment 1596915
Huko ni kujidanganya ..... Rava 4 uifanankshe nn na hup utupolo RAVA 4 nayo gari uifananishe na range lover
Usifananishe Range na vitu vya ujabuKwanza kama kitu unakijua angalau utajua hata jinsi kinavyoandikwa sasa wewe hata jina la hiyo gari haulijui vizuri halafu unataka kubishana?, Inaitwa Range Rover na siyo Lover, pili unamaanisha nini unaposema uifananishe? Unajua kwamba rav4 ndiyo mwanzilishi wa hiyo segment na wengine wote ndiyo wakaiga pamoja na Land Rover wenyewe baada ya kuona success ya Toyota Rav4?