Range Rover Evoque 2.0 D180 S AWD Automatic

Bro kubali tu huyajui magari kubali upewe elimu RAV 4 uilinganishe na huyo mnyama .... Ama kweli

Labda mimi na wewe tunaongelea vitu tofauti na tuna upeo tofauti pia kuhusu magari, labda nikuulize kwa nini Serikali ya TZ hainunui Range Rover badala yake inanunua Toyota Landcruiser ambazo bei ni karibia sawa tu kulingana na specifications? Au labda niulize vingine kwa nini Serikali iliacha kununua magari ya Kampuni ya land Lover na kuhamia Toyota?
 
Hip rav 4 nilishaifunguliaga uzi kipindi imekuwa launched tu. Juzi nimekutana nayo KAWE ni tamu kinoma sema iko compact
Sure mtambo umetulia, ila kuna kasumba imejengeka kwa watu kubeza kila toyota inapokuja katika kulinganisha na gari za europe... hii hata ukimuonga mtoto mkali anakuelewa eeeh
 
Siku hizi serikali wananunua rav4 new model inaonekana zipo poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…