Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At that age and mileage, its not worth 50 million. Its not even worth 20 million. Haya magari yanakuwa mabovu sana engine na electronics haswa yakiwa high mileage kama hili. Spares zake ni ghali balaa!
Punguza bei sana upate wateja. Nimejifunza kitu kimoja. Ukinunua gari luxury la kiulaya, usitegemee kuuza. La sivyo uza kwa hasara.
iko safi kweli?
Dah... no word
Gari haina tatizo ndugu yangu na kizuri siku zote hugharamiwa''
inakula lita 1 km ngp?samahani mi ni karani wa mahakama ya mwanzo eti nataka kujua kama ntaliweza nijuze hapo kwenye ulaji wa mafuta
mmekariri eeh?...hiyo ni 2.7L tu!
Sidhani kama watu wanaangalia vizuri posts au wamekatiri tu.
Mafuta kwenye 2.7 ni kawaida. Sawa na surf ya petrol tu.
Engine ndogo sana hiyo...kama sitakosea hizo zinakuwa injini za dizeli....if so, then unatakiwa kuwa na wasiwasi wa hydrollics tu kama zipo mwake.
Yaani plate number AYG milioni 50?
Kawatafute wenye unga
Plate number siyo tatizo sana, tatizo ni mwaka wa gari na milage ilizokula, akishusha bei atauza, othewise apeleke mkoani.
Ni tabu tupu Mkuu, watu wakiona jina RR baasi wanajua ni mgari wa ajabu kweli unaotafuna mafuta kama jini! RR ni gari za kawaida tu, kama zilivyo gari zingine za kisasa kikubwa ni service kwa wakati na kwa fundi anayeelewa anachokifanya, mwanzo suspension za upepo zilikuwa zinaogopeka lakini sku hizi maduka mengi yanayouza spare za magari ya ulaya kwa bei nzuri tu! 2.7L Diesel ulaji wamfuta ni kama average SUV nyingi zinavyokula tu, though kama mimi ningeopt EVOGUE, 2.2L ni more economical kwa matumizi ya mjini!
At that age and mileage, its not worth 50 million. Its not even worth 20 million. Haya magari yanakuwa mabovu sana engine na electronics haswa yakiwa high mileage kama hili. Spares zake ni ghali balaa!