darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Hii 4.4 V8 Twin Turbo ujue. Ikivuka 8 km/L maajabu. Kwa Dar - Moro hapo Lita 24 hivi.Ivi dungu kama ilo kwa dar to moro ni mafut ya sh ngp?
Cc elf 4Ivi dungu kama ilo kwa dar to moro ni mafut ya sh ngp?
Thanks🙏🏾Good
Kwa Mafuta Yalivyopanda Bei Ukiweka Mafuta Ya Laki Na Ishirini Unatoboa Moro Na Misele Bwege Ya Pale Town UnapigaIvi dungu kama ilo kwa dar to moro ni mafut ya sh ngp?
Ndio Ni DIESEL Iyo Ulaji UsioumizaCc elf 4
Mkuu mafundi wapo. Ni pesa yako tuu. Au na wewe ni wale wa “mtanzania wa kawaida”.
Wapo Japo Wachache Mfano Anold Kweka Kwa Kinondoni BIAFRAYaani bongo kungekuwa na mafundi wa kuaminika, unachukua chuma hii unaweka ndani...
Ukimtumainia Mwenyezi Mungu Hakuna Kinachoshindikana Kaka. Believe ItWengi sisi ni Watanzania wa kawaida...
Mambo ya kuweka taa mpya 3Mil tunaweza wapi kaka?
Ukimtumainia Mwenyezi Mungu Hakuna Kinachoshindikana Kaka. Believe It
Uko Sahihi KabisaKwa uzoefu wangu, haya si magari kwa wanaojitafuta bali waliokwishashiba. Utaikimbia