Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
mbaya sana, hazivutii... hao wangebaki huko huko kwenye SUVBaada ya kudumu na kutawala soko la SUV, hatimaye Range Rover wameleta mtambo mpya, sedan. Kitu ambacho hawajawahi kukifanya tangu walipoanza kuzalisha matoleo yao.
View attachment 1627283View attachment 1627284
RRONDO , Mshana Jr, hii ni habari njema Sana kwenu
Wamefail hawa miamba.. sedan wawaachie wengine wao wapambane na SUV zao.. hizo sedan zao labda unipe bure ndio nitachukuaRange Rover walikuwa vizuri ilipokuwa chini ya BMW group lkn tangia kununuliwa na TATA India wameharibu sana, ...
Yaaani hamna kitu hapo..Mbona shape mbaya?
Kwa hiyo ni Kama starlet, sivyo?Yaaani hamna kitu hapo..
Biashara is all about risk taking. Ndio wame take risk, hebu tuone matokeombaya sana, hazivutii... hao wangebaki huko huko kwenye SUV
Hiyo ni photoshop tu,Range Rover hawezi kujiharibia reputation yake iliojiwekea miaka mingi kwaajili ya kushindana na watengenezaji wa Sedan cars...
Bora hata starlet 😀😀Kwa hiyo ni Kama starlet, sivyo?
Funny unaanza kutulisha matango halafu unaji'debunk mwenyewe
Kila kitu kinaanza na concept, Sasa wameamua kuiweka sokoniFunny unaanza kutulisha matango halafu unaji'debunk mwenyewe