Watanzania Ghana huwa akili yetu yote imeishia kwenye nyumba na gari!...na ndio kiss mtz akisha kua na hivyo basi anaona kamaliza na kayaweza maisha!kifuatcho hapo ni kufungua zipu tu aharibu ndoa yake aanze kutangatanga,apate radhi ya mke, aanze kuuza Mali na kufilisika na hatimaye kifo!Huyo ndio mtz!