Fortunatus Buyobe
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 463
- 1,127
Habari toka jikoni zinathibitisha kuwa ile land rover discovery aliyopewa kama package ya kujiunga clouds media, amepata nayo ajali akiwa kalewa chakali.
Kwa bahati nzuri gari ilikuwa na bima kubwa sema Gadner alikuwa ameshaikopea sehemu. So kampuni ya bima inahangaika kumlipa mkopeshaji (kwa lugha ya kifedha anaitwa TITTLE HOLDER) pesa na riba yake ndo kiasi kilichobaki wamalizane na Gadner. Kadi ya gari bado anayo mkopeshaji. Huu ni ubuyu mpya kwa ajili ya wanaume wa Dar. Kama hutaki umbeya hamia jukwaa la great thinkers.
Kwa wanaotaka kuamini juu ya hili wafatilie wataona gadner now anatumia toyota Opa badala ya discovery 3