Tetesi: Range ya Gadner chalii

Fortunatus Buyobe

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
463
Reaction score
1,127
Habari toka jikoni zinathibitisha kuwa ile land rover discovery aliyopewa kama package ya kujiunga clouds media, amepata nayo ajali akiwa kalewa chakali.

Kwa bahati nzuri gari ilikuwa na bima kubwa sema Gadner alikuwa ameshaikopea sehemu. So kampuni ya bima inahangaika kumlipa mkopeshaji (kwa lugha ya kifedha anaitwa TITTLE HOLDER) pesa na riba yake ndo kiasi kilichobaki wamalizane na Gadner. Kadi ya gari bado anayo mkopeshaji. Huu ni ubuyu mpya kwa ajili ya wanaume wa Dar. Kama hutaki umbeya hamia jukwaa la great thinkers.

Kwa wanaotaka kuamini juu ya hili wafatilie wataona gadner now anatumia toyota Opa badala ya discovery 3
 
Hahhahahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kama unataka umbea mtafute the banker
 
Eti bima inamlipa alikokopa hela,how comes buana, next time unapotunga story weka mambo yanayokaribiana na uhalisia
 
Eti bima inamlipa alikokopa hela,how comes buana, next time unapotunga story weka mambo yanayokaribiana na uhalisia

Sasa mkuu haujaelewa nini hapo, si uulize kuliko kumshambulia mleta Uzi? Ukienda kukopa mahali, ile hati inaongezewa jina LA mkopeshaji kama mmiliki. Sasa kama kadi ya gari inamkopeshaji kama mmiliki hauoni kwamba ndie atakaestahili kulipwa? Huo ni uelewa wangu, wenye kujua sheria za Bima na mikopo watanisahihisha.
 
inaonekana jamaa tungi sana. si alikamatwaga na kibonde wakiDUI asubuhisubuhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…