Range za mishahara ya ilo -tanzania

Range za mishahara ya ilo -tanzania

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Habari za majukumu wakuu! nilikuwa naomba kujuzwa kwa anayefahamu mishahara ya shirika la kazi ILO kwa Tanzania, kwa mtu anayeanza basic salary, akiwa na elimu level ya ka- degree kamoja! Asanteni.
 
Post Hii inatia moyo ana inakatisha tamaa kabisa wadau? Anyways, nimeipenda!!!
 
Back
Top Bottom