banalunda JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 231 Reaction score 67 Nov 2, 2012 #1 Habari za majukumu wakuu! nilikuwa naomba kujuzwa kwa anayefahamu mishahara ya shirika la kazi ILO kwa Tanzania, kwa mtu anayeanza basic salary, akiwa na elimu level ya ka- degree kamoja! Asanteni.
Habari za majukumu wakuu! nilikuwa naomba kujuzwa kwa anayefahamu mishahara ya shirika la kazi ILO kwa Tanzania, kwa mtu anayeanza basic salary, akiwa na elimu level ya ka- degree kamoja! Asanteni.
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,810 Reaction score 6,599 Nov 2, 2012 #2 million 8
andernormans Member Joined Apr 13, 2010 Posts 64 Reaction score 11 Nov 2, 2012 #5 Post Hii inatia moyo ana inakatisha tamaa kabisa wadau? Anyways, nimeipenda!!!