Rangi gani inafaa kwa ukuta wa Fence?

Rangi gani inafaa kwa ukuta wa Fence?

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu... nimejenga fence nishapiga plasta bado rangi ... ambao mushajenga nipeni ushauri rangi ya kupaka ili ukuta uwe na muinekano mzuri na rangi isibambuke wala kupauka
 
Beige
Bamboo
Broken white
Diamond
Lemon chiffon
Elma green

Chagua rangi iwe kwa weatherguard

N.b

Nnazo rangi nzuri ubora [emoji817]
Ukihitaji nichek ikipauka within 2yrs nakupa nyingine bure
Nitakutafuta
 
Sehemu ya mbele piga wall tiles inadumu na kupendeza zaidi. Pande nyingine paka rangi kuendana na rangi ya nyumba ambayo umepaka.
 
Back
Top Bottom