Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Binafsi mi gari lenye rangi nyeusi ni best choice kwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya magari ya kutembelea achilia mbali ya abiria na mizigoInategemea na muundo wa gari
Aya magari ya kutembelea achilia mbali ya abiria na mizigo
Mi white hapana labda maziwa na zambarauBlue, white na black.
Hizo ndio nazikubali sana.
Mi white hapana labda maziwa na zambarau
Kama lipi ukiachana na baby walkers ndo naona zinapendezea hizo rangi nyeupeKuna aina ya magari ikiwa na rangi tofauti na nyeupe mimi haitanivutia kabisa.
Kama lipi ukiachana na baby walkers ndo naona zinapendezea hizo rangi nyeupe
Napenda city unique, vitu amazing, therefore blue is the color for me. Kwanza ina ita, pili sio common. Nikipark sehemu, kila mtu anajua hili ndinga la Ghost.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Binafsi mi gari lenye rangi nyeusi ni best choice kwangu
Hahaha inategemea gar na gari mkuuNapenda city unique, vitu amazing, therefore blue is the color for me. Kwanza ina ita, pili sio common. Nikipark sehemu, kila mtu anajua hili ndinga la Ghost.
-callmeGhost