Tanzania Bombardier
Member
- Sep 28, 2016
- 22
- 5
Please naomba kujuzwa ni rangi gani ya suti nzuri inayovutia kwa mtu yeyote?,Kwangu binafsi nalike nyeusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kesho kuna harusi mahali nisindikize basi dearSuti muhimu kuwa nazo kabatini ni black(inaweza kuwa na mistari kwa mbali),grey na brown.
Hakikisha sitaonekana natembea na house girl wangu.kesho kuna harusi mahali nisindikize basi dear
duuh umetumia maneno makali sana jamaniHakikisha sitaonekana natembea na house girl wangu.
Oh sorry ni angalizo tu tusije tukafika huko ukanikimbia.duuh umetumia maneno makali sana jamani
Malizia mkuuuu .Dark blue,Gray,Coffee(rangi ya maruni/chocolate),Black ..ukiuliza rangi ya tai na shati ya kuvalia suti ntarudi..
Mkuu na tai ni rangi gani unapaswa kuwa nazo hata kama huna sutiDark blue,Gray,Coffee(rangi ya maruni/chocolate),Black ..ukiuliza rangi ya tai na shati ya kuvalia suti ntarudi..
Kama una mke au mchumba uwe unamshirikisha katika kuchagua rangi mana wengine wapo vizuri katika kuchagua.Malizia mkuuuu .
Nimeipend hiiKama una mke au mchumba uwe unamshirikisha katika kuchagua rangi mana wengine wapo vizuri katika kuchagua.
View attachment 418139 View attachment 418140
Hapo na rangi za tai nimekuwekea ushindwe wewe..Nimeipend hii
Mkuu
Ukipata more makala na picha zaid, share ujuzi babaHapo na rangi za tai nimekuwekea ushindwe wewe..
Kama una mke au mchumba uwe unamshirikisha katika kuchagua rangi mana wengine wapo vizuri katika kuchagua.
View attachment 418139 View attachment 418140
Ila hapo ukiangalia vizuri kuna za rangi moja pia halafu hizi shati ni slim fit(kama modo haziwi za kuachia)so unaweza chomekea au ukaachia zinakaa poa na hizo za maua zinapendeza pia mana rangi zake si kalimashati yenye patterns za maua na rangi huwa naonaje sijui
Naona simple rangi moja na maujanja kidogo,