Rangi gani ya suti nzuri na ya kuvutia?

mashati yenye patterns za maua na rangi huwa naonaje sijui
Naona simple rangi moja na maujanja kidogo,
Ila hapo ukiangalia vizuri kuna za rangi moja pia halafu hizi shati ni slim fit(kama modo haziwi za kuachia)so unaweza chomekea au ukaachia zinakaa poa na hizo za maua zinapendeza pia mana rangi zake si kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…