Rangi gani ya suti nzuri na ya kuvutia?

Ila hapo ukiangalia vizuri kuna za rangi moja pia halafu hizi shati ni slim fit(kama modo haziwi za kuachia)so unaweza chomekea au ukaachia zinakaa poa na hizo za maua zinapendeza pia mana rangi zake si kali
labda ni mimi tu sipendi maua maua

polka dots zipo poa


Mungu akipenda nikapata pesa ntapiga mega purchase ya hizo pamba
 
halotel na shati la kijani ya mgomba....[emoji85] ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…