Rangi gani yafaa kupakwa vyumbani, sebuleni na sehemu ya kulia chakula?

moi wa kitaa

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
931
Reaction score
940
Habar wakuu!!

Kama nilivyosema hapo juu naitaji msaada wa kujua rangi gani za/ya faha kupwaka kwenya nyumba ususan kwenye vyumba,siting room,jikon na dyining room!

MSAADA wakubwa.
 
Weka rangi nyeupe ndani au yoyote ile inayoelekea weupe kuipa nyumba mwanga wa kutosha, epuka sana rangi kama upinde wa mvua.
 
Sebuleni paka drewa ile mawe mawe yanayong'aa, vyumbani weka drewa ile inayofanana na ulezi ulezi
 
Weka rangi nyeupe ndani au yoyote ile inayoelekea weupe kuipa nyumba mwanga wa kutosha, epuka sana rangi kama upinde wa mvua.
Hahahah upinde wa mvua!! Aksante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…