Rangi iliyopo ni SILVER lakin nataka kubadili ili iwe kwenye mwonekano tofauti na apo awaliInategemea na rangi yako ww mwenye gari
Rangi yako wewe kama ni mweusi au mweupeRangi iliyopo ni SILVER lakin nataka kubadili ili iwe kwenye mwonekano tofauti na apo awali
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta Rav 4 mult colour itakufaa
Vp gari yako ndo ina rangi hiyo?Every beauty is on the eyes of beholder. Kwangu mimi rangi nyeusi ambayo haijakolea sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kama ni multicolor ipakae rangi ya bendera ya ccm😎
Halafu sina Rav 4.Vp gari yako ndo ina rangi hiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]