Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ipo rangi niipendavyo
Napenda nimuanavyo
Akishatinga kihivyo,
Nashindwa kuwa mchoyo!
Na. M. M. Mwanakijiji
Ya kwangu ni Zambarau ya Kifalme (Royal Purple)
Unashindwa kuwa mchoyo wa nini Mwanakijiji🙂
hivi kumbe ndo wewe MMK ulikuwa na huyu dada siku ile...nilikuona bana...una bonge la choice maana kitu kilikuwa kimesimamia kucha...big up
hahaha Preta acha vituko wewe..mbona kaficha uso lakini?
mmmh ila miguu imepinda bana
ha ha ha.....aonyeshe sura aibiwe...kuna huyu babukijana anampa shida sana MMK......kila mmoja anataka kutoboa boti ya mwenzie
Yani umekagua kwa makini kiivo?!!mmmh ila miguu imepinda bana
[/QUOTE]eeeeeeeeeh nilitaka kujua babu kapendea nn,but huwezi jua labda hizo "chelewa"[babu am soreeeeeeeeeeQUOTE=Bigirita;846157]Yani umekagua kwa makini kiivo?!!
ha ha ha.....aonyeshe sura aibiwe...kuna huyu babukijana anampa shida sana MMK......kila mmoja anataka kutoboa boti ya mwenzie
Mwanakijiji anazungumzia rangi sio miguu bana!!mmmh ila miguu imepinda bana
sasa na nyie semeni rangi zenu mnazozipenda msimkodolee mlimbwende wangu.. na kuanza kumtoa kasoro.. mwenye naipenda hiyo hiyo miguu kama kibanio, si unaona rangi yake imekaa kama kuku wa kuchoma!