Wataalamu wetu wengi wa hizi website na blogs rangi za screen zao ni black and white.
Labda niulize kama ni sheria au lazima kutumia hii rangi ya black and white.Maana kila site unayoiona ni black and white. Kama ni sheria basi tuwekewe kifungu tuone.
Pili rangi hiyo ni majanga sana macho baada ya miaka huko mbele watu wengi watakuwa hawaoni vizuri.
Katika vitu vinavyoangaliwa sana sasa hivi ni simu na computer.
Kuna rangi nyingi kama ya pink ni nzuri rangi ya kijani ni nzuri dark brown sijui ndio zambarau hiyo na rangi zingine nyingi tu..mfano kwenye jf hiyo rangi ya pink juu kwenye mwanzo wa forum ni nzuri sana.
Hizi rangi nyeupe utakuta usiku unamuona mtu mpaka sura jinsi rangi nyeupe inavyommulika na kuna mwingine hajui kupunguza mwanga sasa hapo ni hatari.
Mimi kwenye screen yangu nimeweka rangi nyeusi.
Kama inawezekana kubadilika basi tubadilike. Wataalam wetu.