we endelee kidogoHakuna lolote, hizo ni rangi tu. Hata ukisoma maelezo ya mapazia ambayo Musa aliambiwa atumie kutengenezea hema kule jangwani, utaona rangi nyekundu ilikuwemo. Japo pia kuna mchungaji flani aliwahi elezea kwa nini rangi nyeusi inapendwa kuvaliwa na waganga wa kienyeji na pia misibani. Na historia yake inaanzia kwenye zama za Nimrod.
Elimu haina mwisho ,tusubiri wajuziMapanzia ya waganga hayo,ngoja bwana mshana aje ili tujuzwe zaidi.
Mshana ni Mganga?Mapanzia ya waganga hayo,ngoja bwana mshana aje ili tujuzwe zaidi.
Mambo anayoyaleta humu anamzidi hata mganga.Mshana ni Mganga?