Rangi uipendayo kwenye mavazi ni ipi?

Rangi uipendayo kwenye mavazi ni ipi?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Ukiwa unawaza kupiga pamba zako huwa unawaza kumechisha?
Rangi gani unapenda kuvaa na zinazochukua asilimia kubwa ya nguo zako?
Vitu nisivypenda kuvaa:
-Suruali za kitambaa
-Nguo zenye rangirangi kama za wanakwaya. Mf. Zambarau, Njano, Blue, Kijani.
-Tshirt zenye mistari ya rangi rangi au zenye maandishi ya aina yeyote.
-Kuvaa uniform utadhani wafanyakazi wa CRDB.
-Viatu vyeusi vilivyochongoka mbele.
 
Rangi nyeupe, mara nyingi kwenye viatu. White clean kicks are eyergasmic. I always tryna match my kicks and what I rock on top.

Red(except for shoes), pink, purple, and yellow, are a neverland.
 
Mimi sichagui rangi...nina tshirts za kijani,njano,blue,orange,white.....Kwenye mashati casual im addicted na shati za draft short sleeves, jeans ya blue aina mbali mbali.....viatu sneaker white,blue navy,brown etc.
 
Kijani. Njano zina make noise sana..
 
Mimi sichagui rangi...nina tshirts za kijani,njano,blue,orange,white.....Kwenye mashati casual im addicted na shati za draft short sleeves, jeans ya blue aina mbali mbali.....viatu sneaker white,blue navy,brown etc.
I like u but in love with your money
 
navy blue, black, red and white... hizi rangi nazipenda mnoo
 
Back
Top Bottom