Elections 2010 Rangi ya mifuniko ya mabox ya kura yamekaaje pale UTAWALA-MLIMANI

Elections 2010 Rangi ya mifuniko ya mabox ya kura yamekaaje pale UTAWALA-MLIMANI

coby

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2008
Posts
342
Reaction score
39
Wadau nimewahi kupiga kura pale Utawala Mlimani nikiwa mtu wa saba then nikaingia church. Katika tangazo la Tume rangi ya BLUU ni uraisi, NYEUSI ni Ubunge na NYEUPE ni udiwani. Lakini kwenye kituo nilichopigia kura yaani "Utawala-5", Bluu inawekewa ubunge, Nyeusi inawekewa Uraisi. nina wasiwasi katika kuyasafirisha haya makasha yanaweza kuchanganywa kwani kila nilikofuatilia mfumo wa rangi wa tume ndio unaofuatwa na nimefuatilia wengine wote ndivyo ilivyo. Nina uhakika jamaa wamejichanganya tu na sio uchakachuaji. Ila kwa kuzingatia itifaki nafikiri kwa wahusika wafuatilie hilo ili kuongeza umakini
 
Back
Top Bottom