Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Ndio afya ...we ulitaka uwejenashukuru kaka umenifumbua kwa elimu
mie siku zote nilikuwa najitahidi kunywa maji sana ili mkojo uwe mweupe sana nikidhan ndo afya
darasa mubashara hili
kwa nilivyomuelewa hautakiwi mkojo uwe mweupe sana hiyo ina maana unakunywa maji kupita kiasiNdio afya ...we ulitaka uweje
Wewe, kuna uwezekano unakula chakula kimoja na mbuzi! Jipinde angalau siku moja moja ule burger...me kjani jeshi
kwan mbuzi anatoa mkojo wa kijan mkuu labda mbuz wenu ndo anatoa kijanWewe, kuna uwezekano unakula chakula kimoja na mbuzi! Jipinde angalau siku moja moja ule burger...
Unauona je wwmimi mweupee[emoji22]
ZuriSomo zuli sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe, kuna uwezekano unakula chakula kimoja na mbuzi! Jipinde angalau siku moja moja ule burger...
Ukiwa unamaliza ndoo ya ltr 20 sio mbaya.Asante kwa darasa naomba kujua unashauriwa kunywa maji kiasi gani kwa siku?
Ukianza kula ma misosi ya kibabe kama Pizza na Burger utangundua kuwa haupo tofauti 😀😀kwan mbuzi anatoa mkojo wa kijan mkuu labda mbuz wenu ndo anatoa kijan
sema mm npo tofaut tu
Wewe ni profesa Ray kigosi?Ukiwa unamaliza ndoo ya ltr 20 sio mbaya.
Ukiwa unamaliza ndoo ya ltr 20 sio mbaya.