Rangi ya Shahawa(sperm)

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Rangi ya Shahawa ( sperm) unaweza kuwa ishara ya tatizo Fulani la Ki afya
1:whitish to gray color hii ndio rangi ya kawaida ya shahawa(normal sperm color) nyeupe
2:Yellow color- njano hii INA weza mtokea MTU ambaye ajamwaga shahawa kwa muda mrefu pia uwaga inatokana na umri (age),usababishwa na vyakula
3😛ink,red and dark brown hii inasababishwa na magonjwa kama gonorreah na maambukizi mengine ivyo unapoona rangi ya shahawa zako imebadirika na kuwa na rangi ya nyekundu,pink au dark brown ni bora uende hospital
Nb:Normal color of sperm ni Nyeupe (Whitish) to gray
 
Ungeambatanisha picha kwa rangi ya shahawa ingependeza. Ni wanaume wachache sana wanazijua rangi kwa majina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…