Wenzako wanataka kombe,,,,we unawaletea rangi za jezi angalia wasije wakakupeleka fifa....Nikiwa mshabiki wa Klabu ya Simba nilikuwa na wazo la kuwepo kwa rangi mbadala katika mavazi na jezi za klabu yetu tofauti na rangi zetu za asili ambazo ni nyekundu(home) na njeupe (away).
Rangi mbadala inaweza kutumika kuzipa muonekano tofauti tofauti jezi zetu tofauti na option ya nyeupe na nyekundu!
Wazo la uchaguzi wa rangi mbadala kama hautaenda tofauti na jadi ya klabu yetu,nakaribisha maoni katika hili.
Khofu yng wasije kumpiga tu maana walivyovurugwa acha tu!Wenzako wanataka kombe,,,,we unawaletea rangi za jezi angalia wasije wakakupeleka fifa....
Nikiwa mshabiki wa Klabu ya Simba nilikuwa na wazo la kuwepo kwa rangi mbadala katika mavazi na jezi za klabu yetu tofauti na rangi zetu za asili ambazo ni nyekundu(home) na njeupe (away).
Rangi mbadala inaweza kutumika kuzipa muonekano tofauti tofauti jezi zetu tofauti na option ya nyeupe na nyekundu!
Wazo la uchaguzi wa rangi mbadala kama hautaenda tofauti na jadi ya klabu yetu,nakaribisha maoni katika hili.
Sawa malinziNgoja wa mezani fc waje
Sawa Mrs MbaoWanakuja wa matopeni