FACTSFIRST
Senior Member
- Dec 6, 2019
- 191
- 290
Kila anayefuatilia historia ya nchi hii na kujua maana ya rangi na alama mbalimbali atagundua kuwa baada ya kuondoa Kwa Mwalimu Nyerere, Muasisi wa Taifa hili, walioachiwa nchi chini ya CCM wanafanya kila kinachowezekana kulazimisha watu wote waone "CCM is synonymous to Government".
Kuna vitu na matukio mengi yenye sura hii, lakini leo nataka mfuatilie logo ya Taifa yenye Bibi na Bwana. Wakati wa Mwalimu, nguo za zao hazikuwa kijani na wala Yule Bibi hakuwa na nywele za njano.
Angalieni sasa hivi, kidogo kidogo wanaenda mpaka kila kitu cha nchi kitakuwa kama mali ya chama!
Hata ndege zote mpya zimeandikwa "HAPA KAZI TU" ambayo ilikuwa campaign slogan ya mgombea wa CCM. Ndege zimenunuliwa kwa pesa za umma. Kwa nini ziwekwe "matangazo" ya chama kimoja bure?
TBC tulishawaachia wafanye watakavyo. Sasa wanaona tuko kimya wanazidi kusogea tu.
Iko siku FACTS za historia zitaibuliwa na watu wataenda jela kwa kuhujumu Taifa kupitia chama cha siasa.