Rangi za mdomo zinazonivutia zaidi kwa kinadada

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506


Najua zipo rangi za midomo nyingi na za kuvutia zaidi lakini Rangi hizi ndizo zinanivutia sana na ndizo rangi za midomo za kima dada/mama zilizonivutia zaidi kwa mwaka 2016.

Nikikutana na mwanamama aliepaka hizo rangi katika midomo yake nikipata wasaa wa kumkaribia lazima nimpe hongera zake.

Kina mama mnapenda kupaka hizo rangi hongera zenu.
 

Attachments

Mi sivutiwi na hizi rangi. Afadhali hata mwanamke awe mweupe lakini ukikuta mweusi halafu kapaka hizo rangi sioni kama zinavutia hata kidogo. Ila mi ni mpenzi wa lipshine. Nafurahia sana kuona midomo imelowa kivile maana inaleta raha fulani!
 
kuna mdau jana ameweka hapa chimbuko na historia ya hizo rangi za mdomo
 
Kama Lady Haha wa clouds TV.. wengine hawapendezi kabisa
 
napenda zile wanazopaka akina Kim Kardashian
 
Me nitavutiwa nae akija kajipaka rangi za mafuta aina ya coral paints,goldstar au sadolin hata kiboko si mbaya.
 
Hizo rangi zote zinaishia tumboni
 
rangirangi za nini mimi nataka kitu OG....kwahiyo ukitaka kudendeka uanze kuimeza hyo mirangi...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…