FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,567 Reaction score 4,683 Aug 7, 2018 #21 Mbao za Mawe said: 18% Mimi ni mweusi kuna muda huwa nahisi kipindi nikiwa mdogo nilikuwa siogeshwi ndio maana nikawa hivi. Dah. Click to expand... Au walikuwa wana ku polish na kiwi.
Mbao za Mawe said: 18% Mimi ni mweusi kuna muda huwa nahisi kipindi nikiwa mdogo nilikuwa siogeshwi ndio maana nikawa hivi. Dah. Click to expand... Au walikuwa wana ku polish na kiwi.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Aug 8, 2018 #22 Itakuwa mkuu maana nimekubuhu. FYATU said: Au walikuwa wana ku polish na kiwi. Click to expand...
Bhagavan JF-Expert Member Joined Oct 28, 2017 Posts 1,946 Reaction score 2,822 Aug 8, 2018 #23 Sonetimes nakuwa mweupe sometimes mweusi tii sometimes nakuwa maji ya kunde Sieleweki rangi yangu aisee kama wiki hii nimekuwa mweupe utashangaa wiki ijayo utaniona nimekuwa mweusi kama baraka da prince
Sonetimes nakuwa mweupe sometimes mweusi tii sometimes nakuwa maji ya kunde Sieleweki rangi yangu aisee kama wiki hii nimekuwa mweupe utashangaa wiki ijayo utaniona nimekuwa mweusi kama baraka da prince
samua JF-Expert Member Joined Jul 18, 2016 Posts 1,029 Reaction score 708 Aug 9, 2018 #24 Mm baraka tuuu hapo ndo ananimaliza [emoji9][emoji9][emoji9]