njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Wenzako wanakuambia ni mabingwa wa kombe la mapinduzi na msemaji wao wa akiba anakuambia vimbeeeniiii wananchi vimbeeniiii.. Namungo akitoboa hilo kundi atakusanya rankings points hata 4 au tano ataingia hata 40 boraKizuri ni kwamba katika Afrika Mashariki tuna vilabu viwili Simba na Namungo katika tano bora.
Yanga mujitahidi angalau tuwe na klabu tatu
Hao hata makundi hawajawahi kuingia sidhani hata kama wana point si umeona utopolo wako namba 74 wana 1 point? Azam ana 0 pointsVp kuhusu sisi Azam fc
Mabingwa wa Kihistoria uswahili umewazidi, acha tuwaburuze mpaka waombe poo!Tunapoelekea tutakuwa ndani ya kumi bora ni swala la muda ila wanaojiita mabingwa wa historia wanatia huruma hadi Namungo timu ya juzi imewapita
Hautaisikia popote haswa kule wasafi fm, jamaa ki kanga atauchuna kama haijui vile, hata zile data za IHff zilizoitaja league ya Tanzania kwamba ni ya 8 kwa ubora Afrika zilikomaliwa redioni ila kwa makusudi hawakutaja kipengele kingine cha top 400 clubs ambacho hao jamaa tangu 1985 huwa wanatoa list ya teams 400 bora duniani safari hii Simba ikiwa ya 361hii ni habari mbaya mitaa ya jangwani!!
Kama Petro Luanda walioko juu yetu ni hawa waliofungwa mechi zote za home and away kwenye Klub Bingwa basi hii chati ina walakiniKings of Tanzania na east africa tume slip nafasi moja mwezi uliopita tulikuwa namba 17 ila haina shida sana tunaingia robo fainali hadi nusu tutaruka hadi nafasi ya 13
kwa kifupi ni kwamba kwa east africa (1)simba (2)Gore mahia (3)kcca (4)rayon (5)namungo (6)utopolo fc
View attachment 1720483View attachment 1720484View attachment 1720485
SwadaktaaaYani Namungo ni bora kuliko Utopolo
... Yanga wasipobadilika indicator imeshawashwa wanaombwa kubana kushoto kwenye kinachoitwa ubingwa wa kihistoria! Mabingwa wa kihistoria watabaki historia wasipobadilika na kuachana na mambo ya kiswahili! Utafiti wangu usio rasmi unaonesha Simba ndio timu yenye mashabiki wengi watoto wazuri wazuri wa kike kuliko timu nyingine yoyote! Kwanini imekuwa hivyo? Sijui!Mabingwa wa Kihistoria uswahili umewazidi, acha tuwaburuze mpaka waombe poo!
Mkuu wapo pale kwa performance ya miaka mi5 nyuma, Simba akivuka next stage anaongeza point 10, as 2 x5, akiwa wa tatu kwenye group ataongeza 5 as 1x5. Kwa mwaka huu kuingia group stage kashapata 5, ambayo ni 1x5.Kama Petro Luanda walioko juu yetu ni hawa waliofungwa mechi zote za home and away kwenye Klub Bingwa basi hii chati ina walakini