Rapa Chemical : "Sijawahi kuguswa na mwanaume yeyote" Adai yeye ni Bikra

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
516
Reaction score
905
Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu azaliwe).

Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha D'WIKEND CHATSHOW kinachorushwa kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(ulesbian).

Vilevile ameongezea, yeye hana gharama kabisa, kwasababu hatumii mavitu ya gharama kama wadada wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia, na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa mjini wamekuwa wakitumia.

Pichani msanii chemical akiwa na msanii mwezake wa bongo muvi bibie wema sepetu


picha za chini msanii chemical akiwa kwenye pozi mbalimbali

 
Aisee. Yaani ungeweka hizi picha halafu useme watu tubeti kama ni mwanamke au mwanaume mi ningebeti hata nyumba ya urithi nikishadadia kuwa ni mwanaume. Sishangai kwamba bado angali bikra!

Na ndo maana mimi nasemaga "virginity is lack of opportunity" kama huyu uwezi kuniambia kua lajitunza... kakisa wakumwomba mchezo, na saiv ashaonekata kwny kideo lazima wamtufue[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…