Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuuh watu hawana mchezo[emoji12] [emoji12]Ruge liked this post moments ago...
Kwani huyo ni mwanamke..?!Aisee. Yaani ungeweka hizi picha halafu useme watu tubeti kama ni mwanamke au mwanaume mi ningebeti hata nyumba ya urithi nikishadadia kuwa ni mwanaume. Sishangai kwamba bado angali bikra!
Huyo demu alisababisha nikaliwa pesa yangu nilibisha sana nilikuwa nasema ni dume kipindi ametoa ile ngoma yake sielewi
Kwani huyo ni mwanamke..?!
Au mimi sioni vizuri..[emoji102] [emoji102] [emoji102]
Huyo demu alisababisha nikaliwa pesa yangu nilibisha sana nilikuwa nasema ni dume kipindi ametoa ile ngoma yake sielewi
Kumbe nawe ni msanii..?Tumekuwa naye Chuo UDSM kabla sijahitimu..so muziki ulituunganisha tukafahamiana mkuu.
Kumbe nawe ni msanii..?
Bongo kila mwanachuo msanii..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata twambie vipi na wewe huko nyuma bado bikra ipo?
Utafiti unaonyesha wasichana waliozaliwa kuanzia miaka ya 1995 hawakuzaliwa na bikra..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bikra sio layer kama inavofahamika mkuu, hata kama layer ilitoka kwa baiskeli lakini hakuwahi kujigi jigi anahesabiwa ni bikra huyo!
Kuwa na mpenzi na kufanya mapenzi ni mambo mawili tofauti. Huenda walimwagana kwa sababu ya chemical kuweka ngumu. Unajuaje?Huyu bint anajichanganya aliojiwa na Planet bongo akasema alikua na mpenzi wamemwagana
HahahahaaaaaaaaaaaaKumbe nawe ni msanii..?
Bongo kila mwanachuo msanii..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata twambie vipi na wewe huko nyuma bado bikra ipo?
Mm naona kafanana na baba yake mkubwa,sura yake ni kama anajiandaa kupiga chafya.Sura ka anamung'unya ukwaju
Weweee mwanamke hawezi kukosa mtu wa kumt.ia hata awe mbaya kiasi gani. Ndio maana hata vichaa wanapewa mimba tena sio vichaa wenzao ila wanapewa na wavaa tai kabisa
ni kweli huyu dada sijawahi kukutana nae..Bado hakaja-graduate mkuu..kapo shule pale. Kuhusu kutokua she-male: Actually sina uhakika 100% coz sijawahi kumuona naked ila ukikutana naye, mwili wake ni wa kike kabisa. Chuchu,hips,tabia,company yake pia ni mamanzi kibao n.k...ila tu anapenda kuvaa pants za ki-Tomboy.