Rapa Fat Joe atunukiwa PhD ya heshima

Rapa Fat Joe atunukiwa PhD ya heshima

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
sub-buzz-594-1717091182-1.jpg


Mwanamuziki wa hip hop Fat Joe ametunukiwa PhD ya heshima na Chuo cha Lehman kilichopo nchini Marekani. Fat Joe ameshukuru sana kwa kupewa heshima hiyo na kusema haikuwa rahisi kufika alipo kutokana na mazingira magumu aliyokulia.

 
Back
Top Bottom